Luke 5:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa. Wavuvi wenyewe walikuwa wametoka, wanaosha nyavu zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa, zikiwa zimeachwa hapo na wavuvi waliokuwa wanaosha nyavu zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akaona vyombo viwili vimekaa kando ya ziwa, lakini wavuvi wametoka, wanaosha nyavu zao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu aliona mashua mbili zikiwa kando ya ziwa. Wavuvi walikuwa wametoka katika mashua zao na walikuwa wanaosha nyavu zao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa; wavuvi wenyewe walikuwa wametoka, wanaosha nyavu zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa. Wavuvi wenyewe walikuwa wametoka, wanaosha nyavu zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa, zikiwa zimeachwa hapo na wavuvi waliokuwa wanaosha nyavu zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa, zikiwa zimeachwa hapo na wavuvi waliokuwa wanaosha nyavu zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akaona mashua mbili zimekaa kando ya ziwa, lakini wavuvi wametoka, wanaosha nyavu zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa. Wavuvi wenyewe walikuwa wametoka, wanaosha nyavu zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akaona vyombo viwili, vimekaa ufukoni, nao wavuvi walikuwa wameshuka wakiziosha nyavu zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akaona vyombo viwili vimekaa kando ya ziwa, lakini wavuvi wametoka, wanaosha nyavu zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaona vyombo viwili vyenye kuezeka pembeni ya ziwa, na wavuvi walikuwa wametoka ndani yao, na walikuwa wakisafisha nyavu zao.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akaona vyombo viwili vimekaa kando ya ziwa: na wavuvi wametoka, wanaosha nyavu zao.