Luke 5:34 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawajibu, “Je, wale walioalikwa harusini hutakiwa wafunge hali bwana arusi yuko pamoja nao? La!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawajibu, “Je, mnaweza kuwafanya wageni wa bwana arusi kufunga wakati yuko pamoja nao?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Yesu akawaambia, Je! Mwaweza kuwafanya wafunge walioalikwa arusini, akiwapo bwana arusi pamoja nao?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawaambia, “Kwenye harusi huwezi kuwaambia marafiki wa bwana harusi wafunge wakati bwana harusi bado yuko pamoja nao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawajibu, “Je, mnaweza kuwataka wale walioalikwa arusini wafunge hali bwana arusi yuko pamoja nao?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawajibu, “Je, wale walioalikwa harusini hutakiwa wafunge hali bwana arusi yuko pamoja nao? La!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawajibu, “Je, mnaweza kuwafanya wageni wa bwana arusi kufunga wakati akiwa pamoja nao?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawajibu, “Je, mnaweza kuwafanya wageni wa bwana arusi kufunga wakati yuko pamoja nao?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Yesu akawaambia, Je! Mwaweza kuwafanya wafunge walioalikwa harusini, akiwapo bwana harusi pamoja nao?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawajibu, “Je, wale walioalikwa harusini hutakiwa wafunge hali bwana arusi yuko pamoja nao? La!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu akawaambia: Hamwezi kuwafungisha walioalikwa arusini, bwana arusi akingali pamoja nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Yesu akawaambia, Je! Mwaweza kuwafanya wafunge walioalikwa arusini, akiwapo bwana arusi pamoja nao?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawajibu: “Munafikiri kwamba munaweza kuwazuiza warafiki za bwana-arusi kula chakula cha karamu wakati bwana arusi akingali pamoja nao? Hapana!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu akawaambia, Je! mwaweza kuwafungislia wana wa arusi, maadam Bwana arusi yupo pamoja nao?