Luke 5:35 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kwao. Hapo ndipo watakapofunga.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini siku zitakuja watakapoondolewa bwana arusi, ndipo watakapofunga siku zile.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini muda ukifika na bwana harusi akaondolewa kwao. Watakuwa na huzuni, na watafunga.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao, na wakati huo ndipo watakapofunga.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kwao, ndipo watakapofunga.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kwao. Hapo ndipo watakapofunga.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini siku zitakuja watakapoondolewa bwana harusi, ndipo watakapofunga siku zile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini siku zitakuja, watakapoondolewa bwana arusi; siku zile ndipo, watakapofunga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini siku zitakuja watakapoondolewa bwana arusi, ndipo watakapofunga siku zile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kutakuwa siku bwana-arusi atakapoondoshwa kati yao. Katika siku zile ndipo watafunga kula.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini siku zitakuja watakapoondolewa Bwana arusi, ndipo watakapofunga siku zile.