Luke 5:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza kukatika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nao walipozishusha nyavu zao, wakavua samaki wengi sana, nyavu zao zikajaa zikaanza kukatika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walipofanya hivi, nyavu zao zilijaa samaki wengi mpaka zikaanza kuchanika.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza kukatika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza kukatika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nao walipozishusha nyavu zao, wakavua samaki wengi sana, nyavu zao zikajaa zikaanza kukatika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nao walipozishusha nyavu zao, wakavua samaki wengi sana, nyavu zao zikajaa zikaanza kukatika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza kukatika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipovifanya hivyo wakakamata samaki wengi sana, nyavu zao zikakatikakatika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi mno, nyavu zao zikaanza kukatika;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na waliposhusha nyavu, wakanasa samaki wengi sana hata nyavu zao zikaanza kupasuka.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, walipofanya hivi, wakakusanya wingi wa samaki: nyavu zao zikaanza kukatika.