Luke 5:9 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa yeye na wavuvi wenzake walikuwa wameshangazwa sana na wingi wa samaki waliokuwa wamepata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana alishikwa na ushangao, yeye na wote waliokuwa pamoja naye, kwa sababu ya wingi wa samaki walioupata;
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa yeye na wavuvi wenzake walikuwa wameshangazwa sana na wingi wa samaki waliokuwa wamepata,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa yeye na wavuvi wenzake walikuwa wameshangazwa sana na wingi wa samaki waliokuwa wamepata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana alishikwa na mshangao, yeye na wote waliokuwa pamoja naye, kwa sababu ya wingi wa samaki waliowapata;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Simoni pamoja na wenzake wote walishangaa kwa kupata samaki wengi vile.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kituko kilikuwa kimemshika yeye nao wote waliokuwa pamoja naye, kwa hivyo, walivyokamata samaki wengi;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana alishikwa na ushangao, yeye na wote waliokuwa pamoja naye, kwa sababu ya wingi wa samaki walioupata;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Simoni na wote waliokuwa pamoja naye walishangaa sana kwa sababu ya wingi wa samaki waliowapata.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana ushangao umemshika yeye, na wote waliokuwako pamoja nae, kwa uvuvi wa samaki walioupata.