Luke 6:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kuwatazama wote waliokuwa pale, akamwambia yule mtu, “Nyosha mkono wako.” Naye akafanya hivyo, na mkono wake ukawa mzima tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawatazama watu wote waliokuwepo, kisha akamwambia yule mtu, “Nyoosha mkono wako!” Akaunyoosha, na mkono wake ukawa umeponywa kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawakazia macho wote pande zote, akamwambia yule mtu, Nyosha mkono wako. Akaunyosha; mkono wake ukawa mzima tena.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawatazama watu wote kila upande, kisha akamwambia yule mtu, “Nyoosha mkono wako.” Akaunyosha mkono wake, na akaponywa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Baada ya kuwatazama wote waliokuwa pale, akamwambia yule mtu, “Nyosha mkono wako.” Naye akafanya hivyo, na mkono wake ukawa mzima tena.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kuwatazama wote waliokuwa pale, akamwambia yule mtu, “Nyosha mkono wako.” Naye akafanya hivyo, na mkono wake ukawa mzima tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawatazama watu wote waliokuwepo, kisha akamwambia yule aliyepooza mkono, “Nyosha mkono wako!” Akaunyosha na mkono wake ukawa tena mzima kabisa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawatazama watu wote waliokuwepo, kisha akamwambia yule aliyepooza mkono, “Nyoosha mkono wako!” Akaunyoosha na mkono wake ukaponywa kabisa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawakazia macho wote pande zote, akamwambia yule mtu, Nyosha mkono wako. Akaunyosha; mkono wake ukawa mzima tena.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kuwatazama wote waliokuwa pale, akamwambia yule mtu, “Nyosha mkono wako.” Naye akafanya hivyo, na mkono wake ukawa mzima tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawatazama wote waliokuwako, akamwambia: Unyoshe mkono wako! Alipovifanya, huo mkono wake ukageuka kuwa mzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawakazia macho wote pande zote, akamwambia yule mtu, Nyosha mkono wako. Akaunyosha; mkono wake ukawa mzima tena.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawaangalia wote waliokuwa pale, kisha akamwambia yule mutu: “Nyoosha mukono wako.” Naye akafanya vile, na mukono wake ukakuwa muzima tena.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawakazia macho wote pande zote, akamwambia yule mtu, Nyosha mkono wako.