Luke 6:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku moja Yesu alikwenda mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akisali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ikawa katika siku hizo Isa alienda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa siku zile aliondoka akaenda mlimani ili kuomba, akakesha usiku kucha katika kumwomba Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku chache baadaye, Yesu alikwenda mlimani kuomba. Alikaa huko usiku kucha akimwomba Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Siku moja Yesu alikwenda mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akimwomba Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku moja Yesu alikwenda mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akisali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ikawa katika siku hizo Yesu alikwenda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ikawa katika siku hizo Isa alikwenda mlimani kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa siku zile aliondoka akaenda mlimani ili kuomba, akakesha usiku kucha akimwomba Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku moja Yesu alikwenda mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akisali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa siku zile, akatoka kwenda mlimani kuomba; akakesha kucha katika kumwomba Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa siku zile aliondoka akaenda mlimani ili kuomba, akakesha usiku kucha katika kumwomba Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku zile, Yesu akapanda juu ya kilima kwenda kuomba na kukesha usiku wote akiomba Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ikawa katika siku zile akaomloka akaenda mlimani kuomba, akashinda usiku kucha, akimwomba Mungu.