Luke 6:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yuda wa Yakobo na Yuda Iskarioti ambaye baadaye alikuwa msaliti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yuda mwana wa Yakobo, na Yuda Iskariote, aliyekuwa msaliti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Yuda wa Yakobo, na Yuda Iskariote, ndiye aliyekuwa msaliti.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yuda mwana wa Yakobo, na Yuda Iskariote (yule ambaye baadaye alimsaliti Yesu).
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yuda wa Yakobo na Yuda Iskarioti ambaye baadaye alikuwa msaliti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yuda wa Yakobo na Yuda Iskarioti ambaye baadaye alikuwa msaliti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yuda mwana wa Yakobo na Yuda Iskariote, ambaye ndiye aliyemsaliti Yesu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yuda mwana wa Yakobo, na Yuda Iskariote ambaye alikuwa msaliti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Yuda wa Yakobo, na Yuda Iskarioti, ndiye aliyekuwa msaliti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yuda wa Yakobo na Yuda Iskarioti ambaye baadaye alikuwa msaliti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na Yuda wa Yakobo na Yuda Iskariota, ndiye aliyekuwa mchongezi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Yuda wa Yakobo, na Yuda Iskariote, ndiye aliyekuwa msaliti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yuda mwana wa Yakobo na Yuda Iskariota aliyemutoa Yesu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yuda wa Yakobo; na Yuda Iskariote, ndiye aliyekuwa khaini.