Luke 6:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwaponya pia wote waliokuwa wanasumbuliwa na pepo wachafu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walikuwa wamekuja kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao. Wale waliokuwa wakiteswa na pepo wachafu akawaponya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na wale waliosumbuliwa na pepo wachafu; waliponywa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wote walikuja kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao. Aliwaponya watu waliokuwa wanasumbuliwa na mapepo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Aliwaponya pia wote waliokuwa wanasumbuliwa na pepo wachafu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwaponya pia wote waliokuwa wanasumbuliwa na pepo wachafu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
waliokuwa wamekuja kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao. Wale waliokuwa wakiteswa na pepo wachafu akawaponya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walikuwa wamekuja kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao. Wale waliokuwa wakiteswa na pepo wachafu akawaponya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na wale waliosumbuliwa na pepo wachafu; waliponywa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwaponya pia wote waliokuwa wanasumbuliwa na pepo wachafu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndio waliokuja, wamsikilize yeye, waponywe magonjwa yao. Nao waliosumbuliwa na pepo wachafu wakaponywa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na wale waliosumbuliwa na pepo wachafu; waliponywa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hao walikuja kumusikiliza na kuponyeshwa magonjwa yao. Na wale walioteswa na pepo waliponyeshwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
nao waliosumbuliwa na pepo wachafu; wakaponywa.