Luke 6:20 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akawageukia wanafunzi wake, akasema: “Heri nyinyi mlio maskini, maana ufalme wa Mungu ni wenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawatazama wanafunzi wake, akasema: “Mmebarikiwa ninyi mlio maskini, kwa sababu ufalme wa Mungu ni wenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akainua macho yake akawatazama wanafunzi wake, akasema, Heri ninyi mlio maskini, kwa sababu ufalme wa Mungu ni wenu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawatazama wafuasi wake na kusema, “Heri ninyi mlio maskini. Maana Ufalme wa Mungu ni wenu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akawageukia wanafunzi wake, akasema: “Heri ninyi mlio maskini, maana Ufalme wa Mungu ni wenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akawageukia wanafunzi wake, akasema: “Heri nyinyi mlio maskini, maana ufalme wa Mungu ni wenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawatazama wanafunzi wake, akasema: “Mmebarikiwa ninyi mlio maskini, kwa sababu Ufalme wa Mbinguni ni wenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawatazama wanafunzi wake, akasema: “Mmebarikiwa ninyi mlio maskini, kwa sababu Ufalme wa Mwenyezi Mungu ni wenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akainua macho yake akawatazama wanafunzi wake, akasema, Heri ninyi mlio maskini, kwa sababu ufalme wa Mungu ni wenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akawageukia wanafunzi wake, akasema: “Heri nyinyi mlio maskini, maana ufalme wa Mungu ni wenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akainua macho, akawatazama wanafunzi wake, akasema: Wenye shangwe ni ninyi mlio maskini, maana ufalme wa Mungu ni wenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akainua macho yake akawatazama wanafunzi wake, akasema, Heri ninyi mlio maskini, kwa sababu ufalme wa Mungu ni wenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Yesu akawaangalia wanafunzi wake na kusema: “Heri kwenu munaokuwa wamasikini, maana Ufalme wa Mungu ni kwenu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae akainua macho yake akawatazama wanafunzi wake, akasema, M kheri ninyi mlio maskini: kwa sababu ufalme wa Mungu ni wemi.