Luke 6:27 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Lakini nawaambieni nyinyi mnaonisikiliza, wapendeni maadui zenu, watendeeni mema wale wanaowachukieni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini nawaambia ninyi mnaosikia, Wapendeni adui zenu, watendeeni mema wale ambao wawachukia ninyi,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini ninawaambia ninyi mnaonisikiliza, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wale wanaowachukia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Lakini nawaambieni ninyi mnaonisikiliza: wapendeni adui zenu, watendeeni mema wale wanaowachukieni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Lakini nawaambieni nyinyi mnaonisikiliza, wapendeni maadui zenu, watendeeni mema wale wanaowachukieni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini nawaambia wale wanaonisikia, wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini nawaambia ninyi mnaosikia, Wapendeni adui zenu, watendeeni mema wale ambao wawachukia ninyi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Lakini nawaambieni nyinyi mnaonisikiliza, wapendeni maadui zenu, watendeeni mema wale wanaowachukieni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu! Wafanyieni mazuri wanaowachukia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini nawaambia ninyi mnaosikia, Wapendeni adui zenu, watendeeni mema wale ambao wawachukia ninyi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Lakini kwa ngambo yenu ninyi munaonisikiliza ninawaambia: muwapende waadui zenu. Muwatendee mema wale wanaowachukia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali nawaambia ninyi mnaosikiliza, Wapendeni adui zenu, watendeni mema wao wawachukiao ninyi,