Luke 6:30 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeyote anayekuomba mpe, na mtu akikunyanganya mali yako usimtake akurudishie.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mpe kila akuombaye, na kama mtu akichukua mali yako usitake akurudishie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mpe kila akuombaye, na akunyang'anyaye vitu vyako, usitake akurudishie.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mpe kila akuombaye kitu. Mtu yeyote akichukua kitu chako, usitake akurudishie.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yeyote anayekuomba mpe, na mtu akikunyang'anya mali yako usimtake akurudishie.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeyote anayekuomba mpe, na mtu akikunyang'anya mali yako usimtake akurudishie.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mpe kila akuombaye na kama mtu akichukua mali yako usitake akurudishie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpe kila akuombaye, na kama mtu akichukua mali yako usitake akurudishie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mpe kila akuombaye, na akunyang'anyaye vitu vyako, usitake akurudishie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeyote anayekuomba mpe, na mtu akikunyanganya mali yako usimtake akurudishie.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kila anayekuomba umpe, naye akunyang'anyaye mali zako, usizitake tena kwake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mpe kila akuombaye, na akunyang’anyaye vitu vyako, usitake akurudishie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu akikuomba kitu umupe nacho, na anayekunyanganya vitu vyako, usiombe akurudishie.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Killa akuombae mpe; nae akunyangʼanyae mali zako, usitake akurudishie.