Luke 6:39 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akawaambia mfano huu: “Je, kipofu anaweza kumwongoza kipofu mwenzake? La! Wote wataanguka shimoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akawapa mfano akasema, “Je, kipofu aweza kumwongoza kipofu? Je, wote wawili hawatatumbukia shimoni?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia mithali, Je! Aliye kipofu aweza kuongoza kipofu? Hawatatumbukia shimoni wote wawili?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawaambia mfano huu, “Je, asiyeona anaweza kumwongoza asiyeona mwenzake? Hapana. Wote wawili watatumbukia shimoni.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akawaambia mfano huu: “Je, kipofu anaweza kumwongoza kipofu mwenzake? La! Wote wataanguka shimoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akawaambia mfano huu: “Je, kipofu anaweza kumwongoza kipofu mwenzake? La! Wote wataanguka shimoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akawapa mfano akasema, “Je, kipofu aweza kumwongoza kipofu? Je, wote wawili hawatatumbukia shimoni?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akawapa mfano akasema, “Je, kipofu aweza kumwongoza kipofu? Je, wote wawili hawatatumbukia shimoni?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia mithali, Je! Aliye kipofu aweza kuongoza kipofu? Hawatatumbukia shimoni wote wawili?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akawaambia mfano huu: “Je, kipofu anaweza kumwongoza kipofu mwenzake? La! Wote wataanguka shimoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia mfano: Je? Kipofu aweza kumwongoza kipofu mwenziwe? Hawatatumbukia wote wawili shimoni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia mithali, Je! Aliye kipofu aweza kuongoza kipofu? Hawatatumbukia shimoni wote wawili?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akawaambia tena wanafunzi wake mufano huu akiwauliza: “Kipofu anaweza kumwongoza kipofu mwingine? Wote wawili hawatatumbukia ndani ya shimo?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia mfano, Aweza kipofu kumwongoza kipofu? Hawatatumbukia wote wawili shimoni?