Luke 7:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule aliyekufa akaketi, akaanza kuongea. Na Yesu akamkabidhi kwa mama yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule aliyekuwa amekufa akaketi akaanza kuongea, naye Isa akamkabidhi kwa mama yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule maiti akainuka, akaketi, akaanza kusema. Akampa mama yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yule kijana, akaketi, akaanza kuongea. Yesu akamrudisha kwa mama yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yule aliyekufa akaketi, akaanza kuongea. Na Yesu akamkabidhi kwa mama yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule aliyekufa akaketi, akaanza kuongea. Na Yesu akamkabidhi kwa mama yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule aliyekuwa amekufa akaketi akaanza kuongea, naye Yesu akamkabidhi kwa mama yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule aliyekuwa amekufa akaketi akaanza kuongea, naye Isa akamkabidhi kwa mama yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule maiti akainuka, akaketi, akaanza kusema. Akampa mama yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule aliyekufa akaketi, akaanza kuongea. Na Yesu akamkabidhi kwa mama yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, yule mfu alipoinuka, akaanza kusema; kisha akampa mama yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule maiti akainuka, akaketi, akaanza kusema. Akampa mama yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu yule aliyekuwa maiti akaamuka, akaikaa na kuanza kusema. Na Yesu akamurudisha kwa mama yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yule maiti akaketi, akaanza kusema. Akampa mama yake.