Luke 7:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Habari hizo zikaenea kote katika Yudea na katika nchi za jirani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Habari hizi za mambo aliyoyafanya Isa zikaenea Yudea yote na sehemu zote za jirani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Habari hii yake ikaenea katika Uyahudi wote, na katika nchi zote za kando kando.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Habari hii kuhusu Yesu ikaenea katika Uyahudi yote, na kila sehemu kuzunguka pale.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Habari hizo zikaenea kote katika Uyahudi na katika nchi za jirani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Habari hizo zikaenea kote katika Yudea na katika nchi za jirani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Habari hizi za mambo aliyofanya Yesu zikaenea Uyahudi wote na sehemu zote za jirani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Habari hizi za mambo aliyoyafanya Isa zikaenea Uyahudi wote na sehemu zote za jirani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Habari hii yake ikaenea kote katika Yudea yote, na katika nchi zote za karibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Habari hizo zikaenea kote katika Yudea na katika nchi za jirani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hili neno lake, alilolifanya, likaja kuenea Uyuda wote na nchi zote zilizoko pembenipembeni.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Habari hii yake ikaenea katika Uyahudi wote, na katika nchi zote za kando kando.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na jambo hili Yesu alilolifanya likaenea katika Yudea yote na katika inchi zote zinazokuwa pembeni.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Zikatoka hizo khabari zake katika Yahudi yote, na katika inchi yote iliyozunguka.