Luke 7:18 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafunzi wa Yohane walimhabarisha Yohane juu ya mambo hayo yote. Naye Yohane, baada ya kuwaita wawili kati ya wanafunzi wake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanafunzi wa Yahya wakamweleza Yahya mambo haya yote. Hivyo Yahya akawaita wanafunzi wake wawili
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanafunzi wa Yohana wakamletea habari za hayo yote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wafuasi wa Yohana Mbatizaji walimweleza Yohana Mbatizaji kuhusu mambo haya yote. Naye aliwaita wanafunzi wake wawili.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanafunzi wa Yohane walimpa habari Yohane juu ya mambo hayo yote. Naye Yohane, baada ya kuwaita wawili kati ya wanafunzi wake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafunzi wa Yohane walimhabarisha Yohane juu ya mambo hayo yote. Naye Yohane, baada ya kuwaita wawili kati ya wanafunzi wake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanafunzi wa Yohana Mbatizaji wakamweleza Yohana mambo haya yote. Hivyo Yohana akawaita wanafunzi wake wawili
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanafunzi wa Yahya wakamweleza Yahya mambo haya yote. Hivyo Yahya akawaita wanafunzi wake wawili
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanafunzi wa Yohana wakamletea habari za hayo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafunzi wa Yohane walimhabarisha Yohane juu ya mambo hayo yote. Naye Yohane, baada ya kuwaita wawili kati ya wanafunzi wake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanafunzi wake walipomsimulia Yohana hayo yote, akaita wanafunzi wake wawili,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanafunzi wa Yohana wakamletea habari za hayo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanafunzi wa Yoane wakamwelezea mambo hayo yote yaliyotokea. Kwa hiyo Yoane akawaita wawili kati yao
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi wanafunzi wake Yohana wakamwarifu haya yofe.