Luke 7:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliwatuma kwa Bwana wamwulize: “Wewe ndiye yule anayekuja, au tumngoje mwingine?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
na kuwatuma kwa Bwana Isa ili kumuuliza, “Wewe ndiwe yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Yohana alipowaita wawili katika wanafunzi wake, akawatuma kwa Yesu akiuliza, Wewe ndiwe yule ajaye, au tumtazamie mwingine?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akawatuma waende na kumwuliza Yesu, “Wewe ndiye tuliyesikia anakuja, au tumsubiri mwingine?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
aliwatuma kwa Bwana wamwulize: “Wewe ndiye yule ajaye, au tumtazamie mwingine?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliwatuma kwa Bwana wamwulize: “Wewe ndiye yule anayekuja, au tumngoje mwingine?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na kuwatuma kwa Bwana ili kumwuliza, “Je, wewe ndiye yule ajaye, au tumtazamie mwingine?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na kuwatuma kwa Bwana Isa ili kumuuliza, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Yohana alipowaita wawili katika wanafunzi wake, akawatuma kwa Yesu akiuliza, Wewe ndiwe yule ajaye, au tumtazamie mwingine?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliwatuma kwa Bwana wamwulize: “Wewe ndiye yule anayekuja, au tumngoje mwingine?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawatuma kwa Bwana, wamwulize: Wewe ndiwe mwenye kuja, au tungoje mwingine?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Yohana alipowaita wawili katika wanafunzi wake, akawatuma kwa Yesu akiuliza, Wewe ndiwe yule ajaye, au tumtazamie mwingine?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na kuwatuma kwa Bwana kumwuliza: “Wewe ndiwe yule aliyepaswa kuja kutuokoa au tumungojee mwingine?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yohana akaita wawili katika wanafunzi wake akawapeleka kwa Yesu, akisema, Wewe ndiye yule ajae, au tumtazamie mwingine?