Luke 7:31 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu akaendelea kusema, “Basi, nitawafananisha watu wa kizazi hiki na kitu gani? Ni watu wa namna gani?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawauliza, “Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Wanafanana na nini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akasema, Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Nao wamefanana na nini?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Niseme nini kuhusu watu wa wakati huu? Niwafananishe na nini? Wanafanana na nini?
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu akaendelea kusema, “Basi, nitawafananisha watu wa kizazi hiki na kitu gani? Ni watu wa namna gani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu akaendelea kusema, “Basi, nitawafananisha watu wa kizazi hiki na kitu gani? Ni watu wa namna gani?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawauliza, “Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Wanafanana na nini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawauliza, “Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Wanafanana na nini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana akasema, Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Nao wamefanana na nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu akaendelea kusema, “Basi, nitawafananisha watu wa kizazi hiki na kitu gani? Ni watu wa namna gani?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Basi, wao wa kizazi hiki niwafananishe na nini? Au wamefanana na mtu gani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana akasema, Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Nao wamefanana na nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Basi nitawafananisha watu wa kizazi hiki na nini? Wao ni watu wa namna gani?
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bwana akasema, Nitawafananisha na nini watu wa kizazi hiki? Nao wamefanana na nini?