Luke 7:32 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni kama vijana waliokuwa wamekaa sokoni na kuambiana, kikundi kimoja na kingine: ‘Tumewapigieni ngoma, lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkulia!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao ni kama watoto waliokaa sokoni wakiitana wao kwa wao, wakisema: “ ‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza; tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, lakini hamkulia.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wamefanana na watoto walioketi sokoni na kuitana, wakisema, Tuliwapigia filimbi wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ni kama watoto waliokaa sokoni. Kundi moja la watoto likawaita watoto wengine na kusema, ‘Tuliwapigia filimbi lakini hamkucheza. Tuliwaimba wimbo wa huzuni, lakini hamkulia.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ni kama vijana waliokuwa wamekaa sokoni na kuambiana, kikundi kimoja na kingine: Tumewapigieni ngoma, lakini hamkucheza! Tumeomboleza, lakini hamkulia!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni kama vijana waliokuwa wamekaa sokoni na kuambiana, kikundi kimoja na kingine: ‘Tumewapigieni ngoma, lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkulia!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao ni kama watoto waliokaa sokoni wakiitana wao kwa wao wakisema: “ ‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza, tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, lakini hamkulia.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao ni kama watoto waliokaa sokoni wakiitana wao kwa wao, wakisema: “ ‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza; tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, lakini hamkulia.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wamefanana na watoto walioketi sokoni na kuitana, wakisema, Tuliwapigia filimbi wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni kama vijana waliokuwa wamekaa sokoni na kuambiana, kikundi kimoja na kingine: ‘Tumewapigieni ngoma, lakini hamkucheza! Tumeimba nyimbo za huzuni lakini hamkulia!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamefanana na watoto wanaokaa sokoni na kuitana wao kwa wao wakisema: Tumewapigia filimbi, nanyi hamkucheza; tena tumewaombolezea, nanyi hamkulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wamefanana na watoto walioketi sokoni na kuitana, wakisema, Tuliwapigia filimbi wala hamkucheza; tuliomboleza, wala hamkulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanafanana na watoto wanaoikaa kwenye nafasi ya makutano wanaowaita wenzao, wakisema: ‘Tuliwapigia ngoma, lakini hamukucheza! Tuliimba wimbo wa kilio, lakini hamukulia!’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wamefanana na watoto, waketio sokoni, wakiitana, wakisema, Tuliwapigia filimbi nanyi hamkucheza, tuliomboleza, nanyi hamkulia.