Luke 7:33 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa maana Yohane alikuja, akawa anafunga na hakunywa divai, nanyi mkasema: ‘Amepagawa na pepo!’
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Yahya alikuja, alikuwa hali mkate wala hanywi divai, nanyi mkasema, ‘Yeye ana pepo mchafu.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Yohana Mbatizaji alikuja, hali mkate wala hanywi divai, nanyi mwasema, Ana pepo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yohana Mbatizaji alikuja na hakula chakula cha kawaida au kunywa divai. Nanyi mkasema, ‘Ana pepo ndani yake.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa maana Yohane alikuja, yeye alifunga na hakunywa divai, nanyi mkasema: Amepagawa na pepo!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa maana Yohane alikuja, akawa anafunga na hakunywa divai, nanyi mkasema: ‘Amepagawa na pepo!’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana Yohana Mbatizaji alikuwa hali mkate wala hanywi divai, ninyi mkasema, ‘Ana pepo mchafu,’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana Yahya alikuja, alikuwa hali mkate wala hanywi divai, nanyi mkasema, ‘Yeye ana pepo mchafu.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa Yohana Mbatizaji alikuja, hali mkate wala hanywi divai, nanyi mwasema, Ana pepo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa maana Yohane alikuja, akawa anafunga na hakunywa divai, nanyi mkasema: ‘Amepagawa na pepo!’
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Yohana Mbatizaji alikuja, hakula mkate, wala hakunywa mvinyo, nanyi mkasema: Ana pepo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa Yohana Mbatizaji alikuja, hali mkate wala hanywi divai, nanyi mwasema, Ana pepo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni hivi vilevile, Yoane Mubatizaji alikuja, yeye anafunga kula chakula na kunywa divai, nanyi munasema: ‘Yuko na pepo.’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana Yohana Mbatizaji amekuja, hali mkate, wala hanywi divai, mkasema, Yuna pepo.