Luke 7:35 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo, hekima ya Mungu imethibitishwa kuwa njema na wote wale wanaoikubali.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini hekima huthibitishwa kuwa kweli na watoto wake wote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa watoto wake wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini hekima huoneshwa kuwa sahihi kwa wale wanaoikubali.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hata hivyo, hekima ya Mungu imethibitishwa kuwa njema na wote wale wanaoikubali.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo, hekima ya Mungu imethibitishwa kuwa njema na wote wale wanaoikubali.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nayo hekima imethibitishwa kuwa kweli na watoto wake wote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nayo hekima huthibitishwa kuwa kweli na watoto wake wote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa watoto wake wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo, hekima ya Mungu imethibitishwa kuwa njema na wote wale wanaoikubali.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini werevu hutokezwa na watoto wake wote kuwa wa kweli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa watoto wake wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini hekima ya Mungu ilihakikishwa kuwa ya haki na wote wanaoikubali.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na hekima imepata haki yake kwa watoto wake wote.