Luke 7:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa maana yeye analipenda taifa letu, na ndiye aliyetujengea lile sunagogi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu analipenda taifa letu tena ametujengea sinagogi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
maana, analipenda taifa letu, naye alitujengea sinagogi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa sababu anawapenda watu wetu na ametujengea sinagogi.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
maana analipenda taifa letu, na ndiye aliyetujengea lile sunagogi.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa maana yeye analipenda taifa letu, na ndiye aliyetujengea lile sunagogi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu analipenda taifa letu tena ametujengea sinagogi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu analipenda taifa letu tena ametujengea sinagogi. ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
maana, analipenda taifa letu, naye alitujengea sinagogi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa maana yeye analipenda taifa letu, na ndiye aliyetujengea lile sunagogi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani anatupenda sisi taifa letu, hata nyumba ya kuombea ametujengea mwenyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
maana, analipenda taifa letu, naye alitujengea sinagogi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye anapenda taifa letu na ni yeye aliyetujengea nyumba yetu ya kuabudia.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
ya kama, Astahili umtendee neno hili, maana apenda taifu letu, nae alitujengea sunagogi letu.