Luke 8:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Chochote kilichofichwa kitafichuliwa, na siri yoyote itagunduliwa na kujulikana hadharani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana hakuna jambo lolote lililofichika ambalo halitafichuliwa, wala lolote lililositirika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa ambalo halitajulikana na kutokea wazi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kila jambo lililofichwa litawekwa wazi na kila siri itajulikana na kila mtu ataiona.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Chochote kilichofichwa kitafichuliwa na siri yoyote itagunduliwa na kujulikana hadharani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Chochote kilichofichwa kitafichuliwa, na siri yoyote itagunduliwa na kujulikana hadharani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana hakuna jambo lo lote lililofichika ambalo halitafichuliwa, wala lo lote lililositirika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana hakuna jambo lolote lililofichika ambalo halitafichuliwa, wala lolote lililositirika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Chochote kilichofichwa kitafichuliwa, na siri yoyote itagunduliwa na kujulikana hadharani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hakuna ililofichwa lisiloonekana halafu; wala hakuna njama isiyotambulikana halafu na kutokea waziwazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana hakuna neno lililositirika ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa ambalo halitajulikana na kutokea wazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na ni hivi hakuna chochote kinachofichwa kitakachokosa kuonekana wazi, wala hakuna siri itakayokosa kufunuliwa waziwazi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana hakuna neno lililostirika ambalo halitakuwa dhabiri, wala neno lililofichwa ambalo halitajulikana, na kutokea wazi.