Luke 8:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo mama na ndugu zake Yesu wakamjia, lakini hawakuweza kumkaribia kwa sababu ya umati wa watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati mmoja mama yake Isa na ndugu zake walikuja kumwona, lakini hawakuweza kumfikia kwa sababu ya msongamano wa watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwendea mama yake na ndugu zake, wasiweze kumkaribia kwa sababu ya mkutano.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mama yake Yesu na wadogo zake wakaenda kumwona, lakini walishindwa kumfikia kwa sababu walikuwepo watu wengi sana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo mama na ndugu zake Yesu wakamjia, lakini hawakuweza kumkaribia kwa sababu ya umati wa watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo mama na ndugu zake Yesu wakamjia, lakini hawakuweza kumkaribia kwa sababu ya umati wa watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mmoja mama yake Yesu na ndugu zake walikuja kumwona, lakini hawakuweza kumfikia kwa sababu ya msongamano wa watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mmoja mama yake Isa na ndugu zake walikuja kumwona, lakini hawakuweza kumfikia kwa sababu ya msongamano wa watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo mama yake na ndugu zake wakamwendea, wasiweze kumkaribia kwa sababu ya mkutano.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo mama na ndugu zake Yesu wakamjia, lakini hawakuweza kumkaribia kwa sababu ya umati wa watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mama yake na ndugu zake wakamjia, lakini hawakuweza kumfikia kwa sababu ya kundi la watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwendea mama yake na ndugu zake, wasiweze kumkaribia kwa sababu ya mkutano.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mama na wandugu za Yesu wakakuja kumwona, lakini hawakuweza kufika karibu naye kwa ajili ya kundi kubwa la watu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mama yake na ndugu zake wakamwendea wala hawakuweza kumkaribia kwa sababu ya mkutano.