Luke 8:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakaendelea na safari, wakafika pwani ya nchi ya Wagerase inayokabiliana na Galilaya, ngambo ya ziwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi wakafika katika nchi ya Wagerasi, iliyo upande wa pili wa ziwa kutoka Galilaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafika pwani ya nchi ya Wagerasi, inayoelekea Galilaya.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu na wafuasi wake wakasafiri mpaka katika nchi walimoishi Wagerasi iliyokuwa ng'ambo ya ziwa Galilaya.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wakaendelea na safari, wakafika pwani ya nchi ya Wagerase inayokabiliana na Galilaya, ng'ambo ya ziwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakaendelea na safari, wakafika pwani ya nchi ya Wagerase inayokabiliana na Galilaya, ng'ambo ya ziwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi wakafika katika nchi ya Wagerasi, ambayo iko upande wa pili wa ziwa kutoka Galilaya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi wakafika katika nchi ya Wagerasi, ambayo iko upande wa pili wa ziwa kutoka Galilaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakafika pwani ya nchi ya Wagerasi, inayoelekea Galilaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakaendelea na safari, wakafika pwani ya nchi ya Wagerase inayokabiliana na Galilaya, ngambo ya ziwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokwisha kuvuka, wakafika katika nchi ya Wagerasi iliyoelekea Galilea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafika pwani ya nchi ya Wagerasi, inayoelekea Galilaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu na wanafunzi wake wakaezeka chombo katika inchi ya Wagerasi, kuelekea Galilaya.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakashuka pwani katika inchi ya Wagadareni, inayokabili Galilaya.