Luke 8:31 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao pepo wakamsihi asiwapeleke kwenye shimo kuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale pepo wachafu wakamsihi sana asiwaamuru kwenda katika Shimo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamsihi asiwaamuru watoke kwenda shimoni.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pepo wale wakamsihi Yesu asiwaamuru kwenda shimoni.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hao pepo wakamsihi asiwaamuru wamtoke na kwenda kwenye shimo lisilo na mwisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao pepo wakamsihi asiwapeleke kwenye shimo kuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale pepo wachafu wakamsihi sana asiwaamuru kwenda Shimoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale pepo wachafu wakamsihi sana asiwaamuru kwenda katika Shimo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamsihi asiwaamuru watoke kwenda shimoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao pepo wakamsihi asiwapeleke kwenye shimo kuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wakambembeleza, asiwaagize kwenda zao kuzimuni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamsihi asiwaamuru watoke kwenda shimoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wale pepo walimusihi Yesu kwamba atakapowafukuza asiwaamuru kutumbukia ndani ya shimo lisilokuwa na mwisho.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamsihi asiwaamuru waende zao hatta abusso.