Luke 8:34 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wachungaji walipoona yote yaliyotokea walikimbia, wakaenda kuwapa watu habari mjini na mashambani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale watu waliokuwa wakichunga lile kundi la nguruwe walipoona yaliyotukia, wakakimbia, wakaeneza habari hizi mjini na mashambani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wachungaji walipoona lililotokea walikimbia, wakaieneza habari mjini na mashambani.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wachungaji wa nguruwe walipoona lililotokea, walikimbia, wakaenda kutoa taarifa mjini na mashambani.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale wachungaji walipoona yote yaliyotokea walikimbia, wakaenda kuwapa watu habari, mjini na mashambani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wachungaji walipoona yote yaliyotokea walikimbia, wakaenda kuwapa watu habari mjini na mashambani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale watu waliokuwa wakichunga lile kundi la nguruwe walipoona yaliyotukia, wakakimbia, wakaeneza habari hizi mjini na mashambani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale watu waliokuwa wakichunga lile kundi la nguruwe walipoona yaliyotukia, wakakimbia, wakaeneza habari hizi mjini na mashambani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wachungaji walipoona lililotokea walikimbia, wakaieneza habari mjini na mashambani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wachungaji walipoona yote yaliyotokea walikimbia, wakaenda kuwapa watu habari mjini na mashambani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wachungaji walipoliona lililofanyika, wakakimbia, wakalitangaza mjini na mashambani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wachungaji walipoona lililotokea walikimbia, wakaieneza habari mjini na mashambani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wachungaji wa nguruwe walipoona jambo lililotokea, wakaenda mbio kupasha habari katika muji na katika vijiji.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wachungaji walipoona, wakakimbia, wakaenda zao wakaeneza khabari mjini na mashambani.