Luke 8:36 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale watu walioshuhudia tukio hilo waliwaeleza hao jinsi yule mtu alivyoponywa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale walioyaona mambo hayo wakawaeleza watu wengine jinsi yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu alivyoponywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale waliokuwa wameona waliwaeleza jinsi alivyoponywa yule aliyepagawa na pepo.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wale walioona mambo haya yalivyotokea waliwaambia wengine namna Yesu alivyomponya yule mtu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wale watu walioshuhudia tukio hilo waliwaeleza hao jinsi yule mtu alivyoponywa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale watu walioshuhudia tukio hilo waliwaeleza hao jinsi yule mtu alivyoponywa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale walioona mambo hayo wakawaeleza wenzao jinsi yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu alivyoponywa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale walioyaona mambo hayo wakawaeleza watu wengine jinsi yule mtu aliyekuwa amepagawa na pepo wachafu alivyoponywa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale waliokuwa wameona waliwaeleza jinsi alivyoponywa yule aliyepagawa na pepo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale watu walioshuhudia tukio hilo waliwaeleza hao jinsi yule mtu alivyoponywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walioyaona wakawasimulia, mwenye pepo alivyoponywa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale waliokuwa wameona waliwaeleza jinsi alivyoponywa yule aliyepagawa na pepo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale walioona yale yaliyotendeka wakawaelezea watu namna yule aliyekuwa na pepo alivyoponyeshwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nao walioona wakawaeleza jinsi yule mwenye pepo alivyoponywa.