Luke 8:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati mmoja kundi kubwa la watu lilikuwa linakusanyika, na watu walikuwa wanamjia Yesu kutoka kila mji. Naye akawaambia mfano huu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umati mkubwa wa watu walipokuwa wakikusanyika, nao watu walikuwa wakimjia Isa kutoka kila mji, akawaambia mfano huu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkutano mkuu ulipokutanika, na wale waliotoka kila mji wakimjia, alisema kwa mfano;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kundi kubwa la watu lilikusanyika. Watu walimjia Yesu kutoka katika kila mji, naye Yesu akawaambia fumbo hili:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kundi kubwa la watu lilikuwa linakusanyika, na watu walikuwa wanamjia Yesu kutoka kila mji. Naye akawaambia mfano huu:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati mmoja kundi kubwa la watu lilikuwa linakusanyika, na watu walikuwa wanamjia Yesu kutoka kila mji. Naye akawaambia mfano huu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati umati mkubwa wa watu ulipokuwa ukija kwa Yesu kutoka mji hadi mji, akawaambia mfano huu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umati mkubwa wa watu ulipokuwa ukija kwa Isa kutoka kila mji, akawaambia mfano huu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkutano mkuu ulipokutanika, na wale waliotoka kila mji wakimjia, alisema kwa mfano;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati mmoja kundi kubwa la watu lilikuwa linakusanyika, na watu walikuwa wanamjia Yesu kutoka kila mji. Naye akawaambia mfano huu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Lakini lilipokusanyika kundi la watu wengi na kumwendea toka kila mji, akasema kwa mfano:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkutano mkuu ulipokutanika, na wale waliotoka kila mji wakimjia, alisema kwa mfano;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu walikuwa wakimufikia Yesu toka miji mbalimbali, na kundi kubwa la watu walikusanyika. Halafu akawaambia mufano huu:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Makutano mengi yalipokutanika, na watu wa killa mji wakimjia, akasema kwa mfano: