Luke 8:40 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu aliporudi upande mwingine wa ziwa, kundi la watu lilimkaribisha, kwa maana wote walikuwa wanamngojea.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Isa aliporudi, umati mkubwa wa watu wakampokea kwa furaha, kwani walikuwa wakimngojea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yesu aliporudi mkutano ulimkaribisha kwa furaha, maana walikuwa wakimngojea wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu aliporudi Galilaya, watu walimkaribisha. Kila mtu alikuwa anamsubiri.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu aliporudi upande mwingine wa ziwa, kundi la watu lilimkaribisha, kwa maana wote walikuwa wanamngojea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu aliporudi upande mwingine wa ziwa, kundi la watu lilimkaribisha, kwa maana wote walikuwa wanamngojea.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yesu aliporudi, umati mkubwa wa watu ukampokea kwa furaha, kwani walikuwa wakimngojea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Isa aliporudi, umati mkubwa wa watu ukampokea kwa furaha, kwani walikuwa wakimngojea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yesu aliporudi mkutano ulimkaribisha kwa furaha, maana wote walikuwa wakimngojea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu aliporudi upande mwingine wa ziwa, kundi la watu lilimkaribisha, kwa maana wote walikuwa wanamngojea.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yesu aliporudi, kundi la watu likampokea. Kwani wote walikuwa wakimngoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yesu aliporudi mkutano ulimkaribisha kwa furaha, maana walikuwa wakimngojea wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu alipovuka kurudia ngambo ingine ya ziwa, watu wengi wakamupokea kwa furaha, kwa sababu wote walikuwa wakimungojea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yesu alipokuwa akirudi makutano wakamkaribisha, kwa maana watu wote walikuwa wakimngojea.