Luke 8:53 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao wakamcheka kwa sababu walijua kwamba alikuwa amekufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao wakamcheka kwa dharau, wakijua kuwa amekwisha kufa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamcheka sana, maana walijua ya kuwa amekwisha kufa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wakamcheka, kwa sababu walijua kuwa amekwisha kufa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nao wakamcheka kwa sababu walijua kwamba alikuwa amekufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao wakamcheka kwa sababu walijua kwamba alikuwa amekufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao wakamcheka kwa dharau, wakijua kuwa amekwisha kufa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao wakamcheka kwa dharau, wakijua kuwa amekwisha kufa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamcheka sana, maana walijua ya kuwa amekwisha kufa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao wakamcheka kwa sababu walijua kwamba alikuwa amekufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walipomcheka sana, maana walijua, ya kuwa amekwisha kufa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamcheka sana, maana walijua ya kuwa amekwisha kufa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wakamuchekelea kwa sababu walijua kwamba amekwisha kufa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wakamcheka sana, wakijua ya kuwa amekwisha kufa.