Luke 8:54 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Yesu akamshika mkono akasema, “Mtoto, amka!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akamshika yule binti mkono na kuita, “Binti, amka!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamshika mkono, akapaza sauti, akisema Kijana, inuka.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini Yesu akamshika mkono na kumwambia, “Mtoto inuka!”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini Yesu akamshika mkono akasema, “Mtoto amka!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Yesu akamshika mkono akasema, “Mtoto, amka!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akamshika yule binti mkono na kuita, “Binti, amka!”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akamshika yule binti mkono na kuita, “Binti, amka!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamshika mkono, akapaza sauti, akisema Kijana, inuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Yesu akamshika mkono akasema, “Mtoto, amka!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamshika mkono wake, akapaza sauti akisema: Mtoto, inuka!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamshika mkono, akapaza sauti, akisema Kijana, inuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yesu akamushika mukono na kumwambia kwa sauti kubwa: “Mutoto, simama!”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae akawatoa nje wote, akamshika mkono wake, akapaaza sauti yake, akisema, Kijana, ondoka.