Luke 8:56 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wazazi wake walishangaa, lakini Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote hayo yaliyotendeka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wazazi wake wakastaajabu sana, lakini Isa akawakataza wasimwambie mtu yeyote kuhusu yale yaliyotukia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazazi wake wakastaajabu sana, lakini akawakataza wasimwambie mtu lililotukia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wazazi wa yule binti wakashangaa. Yesu akawakataza wasimwambie mtu yeyote lililotokea.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wazazi wake walishangaa, lakini Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote hayo yaliyotendeka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wazazi wake walishangaa, lakini Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote hayo yaliyotendeka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wazazi wake wakastaajabu sana, lakini Yesu akawakataza wasimwambie mtu ye yote juu ya yale yaliyotukia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wazazi wake wakastaajabu sana, lakini Isa akawakataza wasimwambie mtu yeyote juu ya yale yaliyotukia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazazi wake wakastaajabu sana, lakini akawakataza wasimwambie mtu lililotukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wazazi wake walishangaa, lakini Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote hayo yaliyotendeka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wazazi wake washangaa. Naye akawakataza, wasimwambie mtu lililofanyika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazazi wake wakastaajabu sana, lakini akawakataza wasimwambie mtu lililotukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wazazi wake wakashangaa sana na Yesu akawaagiza wasimwambie mutu yeyote yale yaliyotokea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wazazi wake wakastaajabu sana, akawaamuru wasimwambie mtu lililotukia.