Luke 8:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyingine zilianguka penye mawe, na baada ya kuota zikanyauka kwa kukosa maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbegu nyingine zilianguka penye miamba, nazo zilipoota, hiyo mimea ikakauka kwa kukosa unyevu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nyingine zikaanguka penye mwamba; zilipoanza kumea zikakauka kwa kukosa rutuba.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Zingine zikaanguka kwenye udongo wenye mawe. Zilipoanza kukua zikafa kwa sababu ya kukosa maji.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nyingine zilianguka penye mawe, na baada ya kuota zikanyauka kwa kukosa maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyingine zilianguka penye mawe, na baada ya kuota zikanyauka kwa kukosa maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbegu nyingine zilianguka penye miamba, nazo zilipoota, hiyo mimea ikakauka kwa kukosa unyevu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbegu nyingine zilianguka penye miamba, nazo zilipoota, hiyo mimea ikakauka kwa kukosa unyevu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nyingine zikaanguka penye mwamba; zilipoanza kumea zikakauka kwa kukosa rutuba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyingine zilianguka penye mawe, na baada ya kuota zikanyauka kwa kukosa maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nyingine zikaangukia mwambani, zikaota, mara zikanyauka, kwa kuwa hazina mchanga mbichi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nyingine zikaanguka penye mwamba; zilipoanza kumea zikakauka kwa kukosa rutuba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zingine zikaanguka kwenye udongo wenye mawe. Nazo zilipoota, mara moja zikakauka kwa sababu ya ukosefu wa maji.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nyingine zikaanguka penye mwamba, zikamea, zikakauka kwa kukosa maji.