Luke 8:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafunzi wake Yesu wakamwuliza maana ya mfano huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano huo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanafunzi wake wakamwuliza, Maana yake nini mfano huo?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wafuasi wake wakamwuliza, “Fumbo hili linamaanisha nini?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanafunzi wake wakamwuliza Yesu maana ya mfano huo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafunzi wake Yesu wakamwuliza maana ya mfano huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanafunzi wake wakamwuliza maana ya mfano huu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanafunzi wake wakamuuliza maana ya mfano huo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanafunzi wake wakamwuliza, Maana yake nini mfano huo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafunzi wake Yesu wakamwuliza maana ya mfano huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanafunzi wake walipomwuliza maana ya mfano huu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanafunzi wake wakamwuliza, Maana yake nini mfano huo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu wanafunzi wa Yesu wakamwuliza maana ya mufano huo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wanafunzi wake wakamwuliza, wakinena, Mfano huu ni nini?