Luke 9:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Walikuwapo pale wanaume wapatao 5,000.) Basi, Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Waambieni watu waketi katika makundi ya watu hamsinihamsini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Walikuwepo wanaume wapatao elfu tano.) Isa akawaambia wanafunzi wake, “Waketisheni katika vikundi vya watu hamsini hamsini.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa wanaume waliokuwako walipata kama elfu tano. Akawaambia wanafunzi wake, Waketisheni watu kwa safu, kila safu watu hamsini.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
(Walikuwepo wanaume kama 5,000 pale.) Yesu akawaambia wafuasi wake, “Waambieni watu wakae katika vikundi vya watu hamsini hamsini.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
(Walikuwepo pale wanaume wapatao elfu tano.) Basi, Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Waambieni watu waketi katika makundi ya watu hamsinihamsini.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Walikuwapo pale wanaume wapatao 5,000.) Basi, Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Waambieni watu waketi katika makundi ya watu hamsinihamsini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa walikuwako wanaume wapatao 5,000. Yesu akawaambia wanafunzi wake, “waketisheni katika makundi ya watu hamsini hamsini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walikuwako wanaume wapatao 5,000. Isa akawaambia wanafunzi wake, “Waketisheni katika makundi ya watu hamsini hamsini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa wanaume waliokuwako walikuwa kama elfu tano. Akawaambia wanafunzi wake, Waketisheni watu kwa safu, kila safu watu hamsini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Walikuwapo pale wanaume wapatao 5,000.) Basi, Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Waambieni watu waketi katika makundi ya watu hamsinihamsini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani waume tu waliokuwako walipata 5000. Akawaambia wanafunzi wake: Mwaagize, wakae mafungumafungu kama hamsinihamsini!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa wanaume waliokuwako walipata kama elfu tano. Akawaambia wanafunzi wake, Waketisheni watu kwa safu, kila safu watu hamsini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Watu waliokuwa pale walikuwa yapata wanaume elfu tano.) Yesu akawaamuru wanafunzi wake wawaikalishe kwa makundi ya watu makumi tano tano.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa maana walikuwako wanaume wapata elfu tano.