Luke 9:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanafunzi wakafanya walivyoambiwa, wakawaketisha wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanafunzi wakafanya hivyo, wakawaketisha wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakafanya hivyo, wakawaketisha wote.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo wafuasi wake wakafanya hivyo na kila mtu akakaa chini.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanafunzi wakafanya walivyoambiwa, wakawaketisha wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanafunzi wakafanya walivyoambiwa, wakawaketisha wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakafanya hivyo, wakawaketisha wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanafunzi wakafanya hivyo, wakawaketisha wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakafanya hivyo, wakawaketisha wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanafunzi wakafanya walivyoambiwa, wakawaketisha wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakafanya hivyo, wakawakalisha wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakafanya hivyo, wakawaketisha wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao wanafunzi wakafanya vile, wakawaikalisha watu wote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawaambia wanafunzi wake, Waketisheni watu kwa safu, killa safu watu khamsini.