Luke 9:18 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku moja, Yesu alikuwa anasali peke yake, na wanafunzi wake walikuwa karibu. Basi, akawauliza, “Watu wanasema mimi ni nani?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku moja Isa alipokuwa akiomba faraghani, nao wanafunzi wake wakiwa pamoja naye, akawauliza, “Watu husema mimi ni nani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa alipokuwa akisali kwa faragha, wanafunzi wake walikuwapo pamoja naye, akawauliza, Je! Makutano hao wanasema ya kuwa mimi ni nani?
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wakati mmoja Yesu alikuwa anaomba akiwa peke yake. Wafuasi wake walimwendea na aliwauliza, “Watu wanasema mimi ni nani?”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Siku moja, Yesu alikuwa anasali peke yake, na wanafunzi wake walikuwa karibu. Basi, akawauliza, “Eti watu wanasema mimi ni nani?”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku moja, Yesu alikuwa anasali peke yake, na wanafunzi wake walikuwa karibu. Basi, akawauliza, “Watu wanasema mimi ni nani?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mmoja, Yesu alipokuwa akiomba faraghani, nao wanafunzi wake wakiwa pamoja naye, akawauliza, “Watu husema mimi ni nani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati mmoja, Isa alipokuwa akiomba faraghani, nao wanafunzi wake wakiwa pamoja naye, akawauliza, “Watu husema mimi ni nani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa alipokuwa akisali kwa faragha, wanafunzi wake walikuwapo pamoja naye, akawauliza, Je! Makutano hao wanasema ya kuwa mimi ni nani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku moja, Yesu alikuwa anasali peke yake, na wanafunzi wake walikuwa karibu. Basi, akawauliza, “Watu wanasema mimi ni nani?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Ikawa, alipokuwa akiomba peke yake, wakawapo pamoja naye wanafunzi wake, akawauliza akisema: Makundi ya watu hunisema kuwa ni nani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa alipokuwa akisali kwa faragha, wanafunzi wake walikuwapo pamoja naye, akawauliza, Je! Makutano hao wanasema ya kuwa mimi ni nani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja Yesu alipokuwa akiomba kwenye nafasi ya upekee, nao wanafunzi wake wakiwa pale karibu naye, akawauliza: “Watu wanasema kwamba mimi ni nani?”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ikawra alipokuwa akisali peke yake wanafunzi wake walikuwa pamoja nae: akawanliza, akisema, Makutano huninena mimi kuwa nani?