Luke 9:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu akawatuma waende kuhubiri ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kisha akawatuma waende wakahubiri ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawatuma wautangaze ufalme wa Mungu, na kupoza wagonjwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Akawatuma kwenda kuhubiri kuhusu Ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Halafu akawatuma waende kuhubiri Ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu akawatuma waende kuhubiri ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kisha akawatuma waende wakahubiri Ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kisha akawatuma waende wakahubiri Ufalme wa Mwenyezi Mungu na kuponya wagonjwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawatuma wautangaze ufalme wa Mungu, na kuponya wagonjwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu akawatuma waende kuhubiri ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawatuma, wautangaze ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawatuma wautangaze ufalme wa Mungu, na kupoza wagonjwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akawatuma kuhubiri habari za Ufalme wa Mungu na kuwaponyesha wagonjwa,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akawatuma kuukhubiri ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.