Luke 9:21 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akawakataza wasimwambie mtu yeyote jambo hilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaonya, akawakataza wasimwambie mtu neno hilo;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawatahadharisha wasimwambie mtu yeyote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Halafu Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akawakataza wasimwambie mtu ye yote jambo hilo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akawakataza wasimwambie mtu yeyote jambo hilo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaonya, akawakataza wasimwambie mtu neno hilo;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu Yesu akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipowatisha na kuwakataza, wasimwambie mtu neno hilo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaonya, akawakataza wasimwambie mtu neno hilo;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yesu akawaagiza wanafunzi wake kwa nguvu wasimwambie mutu yeyote maneno hayo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Petro akajibu, akasema, Kristo wa Mungu.