Luke 9:30 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na watu wawili wakaonekana wakizungumza naye, nao walikuwa Mose na Elia,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ghafula wakawaona watu wawili, ndio Musa na Ilya, wakizungumza naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tazama, watu wawili walikuwa wakizungumza naye, nao ni Musa na Eliya;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha watu wawili walikuwa pale, wakiongea naye. Walikuwa Musa na Eliya;
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na watu wawili wakaonekana wakizungumza naye, nao ni Mose na Eliya,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na watu wawili wakaonekana wakizungumza naye, nao walikuwa Mose na Elia,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ghafula wakawaona watu wawili, Mose na Eliya wakizungumza naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ghafula wakawaona watu wawili, ndio Musa na Ilya, wakizungumza naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tazama, watu wawili walikuwa wakizungumza naye, nao ni Musa na Eliya;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na watu wawili wakaonekana wakizungumza naye, nao walikuwa Mose na Elia,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipotazama, wakawako waume wawili wakiongea naye, nao walikuwa Mose na Elia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tazama, watu wawili walikuwa wakizungumza naye, nao ni Musa na Eliya;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wawili, Musa na Elia wakatokea, wakionekana katikati ya mwangaza wa utukufu kutoka mbingu. Walikuwa wakizungumuza na Yesu juu ya yale yatakayomutokea kule Yerusalema, kusudi atimize yaliyoandikwa juu yake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na tazama, watu wawili walikuwa wakisemezana nae, nao ni Musa na Eliya,