Luke 9:31 — Compare Translations
13 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ambao walitokea wakiwa wenye utukufu, wakazungumza naye juu ya kutoka kwake ambako angekamilisha huko Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walionekana katika utukufu wakizungumza na Isa kuhusu kifo chake ambacho kingetokea huko Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
walioonekana katika utukufu, wakanena habari za kufariki kwake atakakotimiza Yerusalemu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Wao pia walionekana waking'aa na wenye utukufu. Walikuwa wanazungumza na Yesu kuhusu kifo chake kitakachotokea Yerusalemu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ambao walitokea wakiwa wenye utukufu, wakazungumza naye juu ya kifo chake ambacho angekikamilisha huko Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ambao walitokea wakiwa wenye utukufu, wakazungumza naye juu ya kutoka kwake ambako angekamilisha huko Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walionekana katika utukufu wakizungumza na Yesu kuhusu kifo chake ambacho kingetokea huko Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walionekana katika utukufu wakizungumza na Isa kuhusu kifo chake ambacho kingetokea huko Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
walioonekana katika utukufu, wakanena habari za kufa kwake atakakotimiza Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ambao walitokea wakiwa wenye utukufu, wakazungumza naye juu ya kutoka kwake ambako angekamilisha huko Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakawatokea wenye utukufu, wakasema naye, ndivyo aende kuyatimiza mambo ya kufa kwake kule Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
walioonekana katika utukufu, wakanena habari za kufariki kwake atakakotimiza Yerusalemu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
walioonekana katika utukufu, wakanena khahari ya kufariki kwake atakakotimiza Yerusalemi.