Luke 9:37 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake walipokuwa wakishuka kule mlimani, kundi kubwa la watu lilikutana na Yesu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kesho yake waliposhuka kutoka mlimani, alikutana na umati mkubwa wa watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa siku ya pili yake, waliposhuka mlimani, mkutano mkubwa ulikutana naye.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Siku iliyofuata, Yesu, Petro, Yohana na Yakobo walitelemka kutoka mlimani. Kundi kubwa la watu likaenda kukutana naye.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kesho yake walipokuwa wakishuka kutoka kule mlimani, kundi kubwa la watu lilikutana na Yesu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake walipokuwa wakishuka kule mlimani, kundi kubwa la watu lilikutana na Yesu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kesho yake, waliposhuka kutoka mlimani, alikutana na umati mkubwa wa watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kesho yake waliposhuka kutoka mlimani, alikutana na umati mkubwa wa watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa kesho yake, waliposhuka mlimani, mkutano mkubwa ulikutana naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake walipokuwa wakishuka kule mlimani, kundi kubwa la watu lilikutana na Yesu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa siku ya kesho, waliposhuka mlimani wakakutana na kundi la watu wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa siku ya pili yake, waliposhuka mlimani, mkutano mkubwa ulikutana naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake, Yesu na wale wanafunzi watatu waliposhuka toka kwa mulima, kundi kubwa la watu wakamufikia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ikawa siku ya pili yake, waliposhuka mlimani, mkutano mkuu wakakutana nae.