Luke 9:43 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote wakashangazwa na uwezo mkuu wa Mungu. Wale watu walipokuwa bado wanashangaa juu ya mambo yote aliyofanya, Yesu aliwaambia wanafunzi wake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wote wakastaajabia uweza mkuu wa Mungu. Wakati bado watu walikuwa wanastaajabia hayo yote aliyokuwa akiyafanya Isa, yeye akawaambia wanafunzi wake:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote wakashangaa, wakiuona ukuu wa Mungu. Nao walipokuwa wakiyastaajabia mambo yote aliyoyafanya, aliwaambia wanafunzi wake,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wote wakaushangaa ukuu wa nguvu ya Mungu. Watu walipokuwa bado wanayashangaa mambo yote aliyofanya Yesu. Akawaambia wanafunzi wake,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wote wakashangazwa na uwezo mkuu wa Mungu. Wale watu walipokuwa bado wanashangaa juu ya mambo yote aliyofanya, Yesu aliwaambia wanafunzi wake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote wakashangazwa na uwezo mkuu wa Mungu. Wale watu walipokuwa bado wanashangaa juu ya mambo yote aliyofanya, Yesu aliwaambia wanafunzi wake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wote wakastaajabia uweza mkuu wa Mungu. Wakati bado watu wanastaajabia hayo yote aliyokuwa akiyafanya Yesu, yeye akawaambia wanafunzi wake:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wote wakastaajabia uweza mkuu wa Mungu. Wakati bado watu walikuwa wanastaajabia hayo yote aliyokuwa akiyafanya Isa, yeye akawaambia wanafunzi wake:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote wakashangaa, wakiuona ukuu wa Mungu. Nao walipokuwa wakiyastaajabia mambo yote aliyoyafanya, aliwaambia wanafunzi wake,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote wakashangazwa na uwezo mkuu wa Mungu. Wale watu walipokuwa bado wanashangaa juu ya mambo yote aliyofanya, Yesu aliwaambia wanafunzi wake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wote walipoingiwa na kituko kwa ajili ya ukubwa wa nguvu yake Mungu. Wao wote walipoyastaajabu yote, aliyoyafanyiza, akawaambia wanafunzi wake:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote wakashangaa, wakiuona ukuu wa Mungu. Nao walipokuwa wakiyastaajabia mambo yote aliyoyafanya, aliwaambia wanafunzi wake,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na watu wote wakashangaa sana kwa kuona uwezo mukubwa wa Mungu. Nao wote walipokuwa wakishangaa juu ya mambo hayo yote Yesu aliyofanya, yeye akawaambia wanafunzi wake:
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watu wote wakashangaa kwa adhama yake Mungu. Hatta wote walipokuwa wakistaajabia mambo yote aliyoyafanya akawaambia wanafunzi wake,