Luke 9:47 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu aliyajua mawazo yaliyokuwa mioyoni mwao; basi akamchukua mtoto mdogo akamweka karibu naye,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Isa akayatambua mawazo yao, naye akamchukua mtoto mdogo, akamsimamisha kando yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yesu alipotambua mawazo ya mioyo yao, alitwaa mtoto mdogo akamweka karibu naye,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alijua walichokuwa wanafikiri, hivyo akamchukua mtoto mdogo na kumsimamisha karibu yake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu aliyajua mawazo yaliyokuwa mioyoni mwao; basi akamchukua mtoto mdogo akamweka karibu naye,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu aliyajua mawazo yaliyokuwa mioyoni mwao; basi akamchukua mtoto mdogo akamweka karibu naye,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Yesu akayatambua mawazo yao, akamchukua mtoto mdogo, akamsimamisha kando yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Isa akayatambua mawazo yao, naye akamchukua mtoto mdogo, akamsimamisha kando yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yesu alipotambua mawazo ya mioyo yao, alitwaa mtoto mdogo akamweka karibu naye,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu aliyajua mawazo yaliyokuwa mioyoni mwao; basi akamchukua mtoto mdogo akamweka karibu naye,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Yesu akayajua, waliyoyawaza mioyoni mwao, akatwaa kitoto, akamsimamisha kando yake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yesu alipotambua mawazo ya mioyo yao, alitwaa mtoto mdogo akamweka karibu naye,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yesu akatambua mawazo yao. Kwa hiyo akatwaa mutoto akamuweka karibu naye
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nae Yesu alipoona mawazo ya mioyo yao, akatwaa kitoto akamweka karibu yake,