Luke 9:49 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yohane alidakia na kusema, “Bwana, tumemwona mtu mmoja akitoa pepo kwa kulitumia jina lako nasi tukajaribu kumkataza kwa kuwa yeye si mmoja wetu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yohana akasema, “Bwana, tumemwona mtu akitoa pepo wachafu kwa jina lako, nasi tukamzuia, kwa sababu yeye si mmoja wetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yohana akajibu akamwambia; Bwana mkubwa, tuliona mtu anatoa pepo kwa jina lako; tukamkataza, kwa sababu hafuatani na sisi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yohana akajibu; “Bwana mkubwa, tuliona mtu anatoa pepo kutoka kwa watu akitumia jina lako. Tulimwambia aache kwa sababu hayuko katika kundi letu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yohane alidakia na kusema, “Bwana, tumemwona mtu mmoja akitoa pepo kwa kulitumia jina lako nasi tukajaribu kumkataza kwa kuwa yeye si mmoja wetu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yohane alidakia na kusema, “Bwana, tumemwona mtu mmoja akitoa pepo kwa kulitumia jina lako nasi tukajaribu kumkataza kwa kuwa yeye si mmoja wetu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yohana akasema, “Bwana, tumemwona mtu akitoa pepo wachafu kwa jina lako tukamzuia, kwa sababu yeye si mmoja wetu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yohana akasema, “Bwana Isa, tumemwona mtu akitoa pepo wachafu kwa jina lako, nasi tukamzuia, kwa sababu yeye si mmoja wetu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yohana akajibu akamwambia; Bwana mkubwa, tuliona mtu anatoa pepo kwa jina lako; tukamkataza, kwa sababu hafuatani na sisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yohane alidakia na kusema, “Bwana, tumemwona mtu mmoja akitoa pepo kwa kulitumia jina lako nasi tukajaribu kumkataza kwa kuwa yeye si mmoja wetu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yohana akajibu akisema: Bwana, tuliona mtu anayefukuza pepo kwa Jina lako; tukamzuia, kwani hafuatani nasi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yohana akajibu akamwambia; Bwana mkubwa, tuliona mtu anatoa pepo kwa jina lako; tukamkataza, kwa sababu hafuatani na sisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Yoane akasema: “Bwana, tulimwona mutu mumoja akifukuza pepo kwa jina lako, nasi tulimukataza, kwa sababu yeye si wa kundi letu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Yohana akajibu, akasema, Mwalimu, tulimwona mtu anafukuza pepo kwa jina lako, tukamkataza kwa kuwa hatufuati sisi.