Luke 9:52 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akawatuma wajumbe wamtangulie, nao wakaenda wakaingia kijiji kimoja cha Wasamaria ili wamtayarishie mahali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akatuma watu wamtangulie, nao wakaenda katika kijiji kimoja cha Samaria kumwandalia kila kitu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akatuma wajumbe kutangulia mbele ya uso wake; wakaenda wakaingia katika kijiji cha Wasamaria, ili kumtengenezea mahali.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Alituma baadhi ya watu kumtangulia. Waliondoka na kwenda katika mji mmoja wa Samaria, ili kumwandalia mahali pa kufikia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, akawatuma wajumbe wamtangulie, nao wakaenda wakaingia kijiji kimoja cha Wasamaria ili wamtayarishie mahali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akawatuma wajumbe wamtangulie, nao wakaenda wakaingia kijiji kimoja cha Wasamaria ili wamtayarishie mahali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatuma watu wamtangulie, nao wakaenda katika kijiji kimoja cha Samaria kumwandalia kila kitu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akatuma watu wamtangulie, nao wakaenda katika kijiji kimoja cha Samaria kumwandalia kila kitu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akatuma wajumbe kutangulia mbele ya uso wake; wakaenda wakaingia katika kijiji cha Wasamaria, ili kumtengenezea mahali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akawatuma wajumbe wamtangulie, nao wakaenda wakaingia kijiji kimoja cha Wasamaria ili wamtayarishie mahali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akatanguliza wajumbe mbele yake. Hao walipokwenda, kuingia kijiji cha Wasamaria, wamtengenezee mahali,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akatuma wajumbe kutangulia mbele ya uso wake; wakaenda wakaingia katika kijiji cha Wasamaria, ili kumtengenezea mahali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akawatuma wajumbe watangulie mbele yake. Wale wajumbe wakaondoka na kuingia katika kijiji kimoja cha Wasamaria kusudi wamutayarishie vitu vyote kule.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akatuma wajumbe mbele ya uso wake, wakashika njia, wakaingia katika kijiji cha Wasamaria, illi kumfanyia tayari.