Luke 9:57 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipokuwa njiani wakienda, mtu mmoja akamwambia Isa, “Nitakufuata popote utakakoenda.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao walipokuwa wakienda njiani, mtu mmoja alimwambia, Nitakufuata ko kote utakakokwenda.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Walipokuwa wakisafiri pamoja njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipokuwa njiani wakienda, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata ko kote uendako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipokuwa njiani wakienda, mtu mmoja akamwambia Isa, “Nitakufuata kokote uendako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao walipokuwa wakienda njiani, mtu mmoja alimwambia, Nitakufuata kokote utakakokwenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walipokuwa wakisafiri njiani, mtu mmoja akamwambia Yesu, “Nitakufuata kokote utakakokwenda.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipokuwa wakienda njiani, palikuwapo aliyemwambia: Nitakufuata po pote, utakapokwenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao walipokuwa wakienda njiani, mtu mmoja alimwambia, Nitakufuata ko kote utakakokwenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao walipokuwa katika njia, mutu mumoja akamwambia Yesu: “Nitakufuata popote utakapokwenda.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na walipokuwa wakienda njiani, mtu mmoja akamwambia, Nitakufuata ko kote uendako, Bwana.