Luke 9:59 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akamwambia mtu mwingine, “Nifuate.” Lakini huyo akasema, “Bwana, niruhusu kwanza niende kumzika baba yangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Isa akamwambia mtu mwingine, “Nifuate.” Mtu huyo akamjibu, “Bwana, niruhusu kwanza nikamzike baba yangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia mwingine, Nifuate. Akasema, Bwana, nipe ruhusa kwanza niende nikamzike baba yangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akamwambia mtu mwingine, “Nifuate!” Lakini mtu yule akamwambia, “Bwana, niache nikamzike baba yangu kwanza.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kisha akamwambia mtu mwingine, “Nifuate.” Lakini huyo akasema, “Bwana, niruhusu kwanza niende kumzika baba yangu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akamwambia mtu mwingine, “Nifuate.” Lakini huyo akasema, “Bwana, niruhusu kwanza niende kumzika baba yangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yesu akamwambia mtu mwingine, “Nifuate.” Mtu huyo akamjibu, “Bwana, niache kwanza nikamzike baba yangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Isa akamwambia mtu mwingine, “Nifuate.” Mtu huyo akamjibu, “Bwana, niruhusu kwanza nikamzike baba yangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia mwingine, Nifuate. Akasema, Bwana, nipe ruhusa kwanza niende nikamzike baba yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akamwambia mtu mwingine, “Nifuate.” Lakini huyo akasema, “Bwana, niruhusu kwanza niende kumzika baba yangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipomwambia mtu mwingine akasema: Nifuate! huyo akasema: Nipe ruhusa, kwanza niende nimzike baba yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia mwingine, Nifuate. Akasema, Bwana, nipe ruhusa kwanza niende nikamzike baba yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Yesu akamwambia mutu mwingine: “Unifuate.” Lakini mutu yule akamujibu: “Bwana, unipe ruhusa niende kwanza kuzika baba yangu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akamwambia mwingine, Nifuate. Akasema, Bwana, nipe rukhusa niende kwanza, nikamzike baba yangu.