Luke 9:61 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na mtu mwingine akamwambia, “Nitakufuata, lakini niruhusu kwanza nikawaage wale walio nyumbani kwangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mwingine akamwambia, “Bwana, nitakufuata lakini naomba kwanza nikawaage jamaa zangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mwingine pia akamwambia, Bwana, nitakufuata; lakini, nipe ruhusa kwanza nikawaage watu wa nyumbani mwangu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtu mwingine pia akamwambia, “Nitakufuata Bwana, lakini niruhusu kwanza nikaiage familia yangu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na mtu mwingine akamwambia, “Nitakufuata, lakini niruhusu kwanza nikawaage wale walio nyumbani kwangu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na mtu mwingine akamwambia, “Nitakufuata, lakini niruhusu kwanza nikawaage wale walio nyumbani kwangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mwingine akamwambia, “Bwana, nitakufuata lakini naomba kwanza nikaage jamaa yangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mwingine akamwambia, “Bwana, nitakufuata, lakini naomba kwanza nikawaage jamaa yangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mwingine pia akamwambia, Bwana, nitakufuata; lakini, nipe ruhusa kwanza nikawaage watu wa nyumbani mwangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na mtu mwingine akamwambia, “Nitakufuata, lakini niruhusu kwanza nikawaage wale walio nyumbani kwangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu mwingine akasema: Nitakufuata, Bwana, lakini kwanza nipe ruhusa, niwaage waliomo nyumbani mwangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mwingine pia akamwambia, Bwana, nitakufuata; lakini, nipe ruhusa kwanza nikawaage watu wa nyumbani mwangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu mwingine akasema: “Bwana, nitakufuata lakini unipe ruhusa niende kwanza kuaga jamaa yangu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na mwingine nae akasema, Nitakufuata, Bwana, lakini kwanza nipe rukhusa nikawaage watu wa nyumbani mwangu.